Saturday, January 24, 2015

Jinsi ya kutumia Whatsapp kwenye browser yako







kwa mara ya kwanza, mamilioni ya watumiaji wa mtandao huu watakuwa na uwezo wa kutumia Whatsapp juu ya browser yako. Kiunganishi kilichopo ndani ya browser kitafanya kazi pamoja na simu yako: ikifanya kazi sambamba na simu yako na ujumbe wako bado unaishi kwenye simu yako.



Kuunganisha browser yako na Whatsapp, fungua https://web.whatsapp.com katika Google Chrome browser yako. Utaona code QR --- Scan code ndani ya Whatsapp, na uko tayari kutumia. Unaweza sasa kupaire Whatsapp juu ya simu yako na Whatsapp mtandao. Simu yako inahitaji kuwa na wasiliano ya mtandao kwa ajili ya njia hii kufanya kazi, na tafadhali hakikisha kutumia toleo la karibuni la Whatsapp kwenye simu yako. Kwa bahati mbaya kwa sasa, Whatsapp haina uwezo wa kutoa huduma hiim kwa watumiaji wa iOS kutokana na vizuizi kutoka Apple platform.